[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we bidada adimu sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazee wa tabata magengenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na tunaonunua telegram tunakomenti wapi?