Pokea mkasi

Pokea mkasi

Maswali....:

Huyo shushushu wa nyuma asipoupokea mkasi, je aliyeshika mkasi atautupa chini? Atageuka nyuma na kumwambia oyaaa pokea mkasi au atautia mfukoni??

Hawa mashushushu wengine wawili wenye kaunda za bluu hapa mbele muvumenti yao sijaielewa......

Mmoja kama anataka amchomoe au aweke kitu kwenye mfuko wa suruali wa mwenzie.

Au kuna kitu mkuu amedondosha wanajiandaa kukiokota..!??

Ila wawe wanafanya sit ups jamani mweeeh....!![emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
Ha ha ha...asipoupokea atamwambia "blaza unaharibu"..kama maulid wa kitenge kwenye pistol ya nape wa mtama.
 
Back
Top Bottom