Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Ndio mkuu. Lakini hii sio kiribatumbo eti!?Duh? Watu wazima nao hupata kwashakoo?
Boonge la ascites
Hooooooo mkuu, huyu hachelewi anakuja tu na kurudi fastaHuku kwetu kuna baridi sana. Mwambie arudi avae shati.
Kafanana sana na baba ubaya