Pokea baraka za mwisho wa mwaka , BWANA asimame nawe, ukainuke ukaongezeke

Pokea baraka za mwisho wa mwaka , BWANA asimame nawe, ukainuke ukaongezeke

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,961
Reaction score
42,166
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nakutakia baraka njema za mwisho wa mwaka

BWANA akasimame nawewe

Ukainuke mtumishi, Ufanikiwe mtoto mdogo wa MUNGU
Ikawe kheri kwako

Nakutakia amani na baraka

BWANA akakusamehe maovu yako yote

YESU KRISTO anakuja , anazaliwa

SAYUNI BOY
 
Back
Top Bottom