Kama haujajenga juu ya mwamba
Kutitia kwa jengo huwa ni lazima...ila kinachoangaliwa kiwango cha utitiaji...huwa initial settlement
Kwenye hilo Jengo....
Uzito wa jengo unapelekea kwenye nguzo, kwahiyo hapo ili lisititie,kwa kasi kubwa.
- Uhimilivu wa udongo
- Uzito wa jengo husika
- Sanifu ya mfumo wa nguzo
- Mazingira ya kiwanja