Pogba ndio mchezaji bora kwa sasa duniani

Ukback255

Senior Member
Aug 31, 2016
174
278


Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa.

Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa.

Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .
 


Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa.

Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa.

Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .

Mkuu najua utakuwa mshabiki wa man utd hakuna anayepinga kwamba pogba ni mchezaji mzuri na kiwango chake kinakua kila kukicha ila UKWELI bado hajafikia level ya MESSI & RONALDO sometimes ushabiki ama unazi wa timu zeti usitufanye tupotoshe uhalisia wa mambo
 
Huyu shabiki wa man u ana matatizo sana

Huyo pogba kufikia levo za Alcantara,coutinho,verratti bado tu halafu awe bora

Akina modric,kroos nk

Huyo pogba labda bora kwa kubadilisha style za nywele
 
Teh teh teh mashabik wa mwanitesa united wanajifariji kweli eti mchezaji bora ukiwabana wanaanza eti pogba kiungo ndy maana ananiliu kujifariji pogba mwanamitindo syo mchezaji bora muwe mnaon na haibu josee darali akiamua ata samatta atasajiriw kwa paund milion miatatu akiamua tu
 
Duh,Pogba 4 goals in last 17 appearance,Lalana 4 goals in last 4 appearance halafu bado unasema Pogba ni bora duniani.
 
Back
Top Bottom