POAC ya bunge inatumiwa vibaya kwa maslahi ya kisiasa ndani ya CHADEMA

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
Hatua ya mh. Zitto kuviita vyama vya siasa kujieleza mbele ya kamati ya POAC au kusitishiwa ruzuku kwa kushindwa kupeleka hesabu za vyama kwa muda wa miaka 4 mfululizo.

Swali; ZZK alikuwa wap?au ndio janja ya kukwepa uchaguzi ndani ya CHADEMA?.

Tujadili.
 
hatua ya mh.zitto kuviita vyama vya siasa kujieleza mbele ya kamati ya POAC au kusitishiwa ruzuku kwa kushindwa kupeleka hesabu za vyama kwa muda wa miaka 4 mfululizo.swali.zzk alikuwa wap?,au ndio janja ya kukwepa uchaguzi ndani ya cdm .tujadili.

Katika kamati bure kabisa ni hii.Siri inazopata kutokana na kazi yake ndizo hizo Zitto anazitumia kuzipeleka vyombo vya habari na kuzielezea mikutano ya hadhara.Serikali isihangaike na wavujisha siri za serikali kwa vyombo vya habari kwa kuzitoa bure (au kuziuza?) Kamati hii inahusika.Hasa huyo mwenyekiti wake asiyeamini katika siri.Hiyo mishahara anayovujisha mikutano ya hadhara SIri hizo alizipata kupitia kamati hiyo.Huyu ndiye alisababisha gazeti la MWANANCHI LIFUNGIWE.Kama aliwapa bure au aliwauzia wajua wenyewe.Na ndio chanzo cha siri nyingi zinazotoka kwenye vyombo vya habari.Ni double agent.Ni SNOWDEN WA TANZANIA HUYO.anakula huku na huko huyo.Nafikiri naeleweka.

Vyama vyote vigome kutoa taarifa kwenye hiyo kamati isiyoamini juu ya siri.Vikiwapa wasubiri kuyaonma magazetini kama habari za uchunguzi au hotuba za mikutano ya hadhara.
 
Kama sheria inataka vyama vya siasa vikaguliwe na vikaguliwe na ofisi ya msajili wa vyama pia ikaguliwe, tusilete visingizio
 
Hatua ya mh. Zitto kuviita vyama vya siasa kujieleza mbele ya kamati ya POAC au kusitishiwa ruzuku kwa kushindwa kupeleka hesabu za vyama kwa muda wa miaka 4 mfululizo.

Swali; ZZK alikuwa wap?au ndio janja ya kukwepa uchaguzi ndani ya CHADEMA?.

Tujadili.

Mleta uzi mwajiri mkuu wa nchi hii ni wananchi.
Kamati ya POAC ni sawa na kamati nyingine za bunge kupitia hesabu za vyama vya siasa ni kama ilivyo kwa taasisi yoyote ya umma kutokana na kupata ruzuku maana ni kodi za wananchi.

Kazi za bunge hazina uhusiano wa moja kwa moja na uchaguzi ndani ya vyama
 
tunacho taka sisi wananchi ni uwazi katika matumizi ya pesa ya mlipa kodi ruzuku siyo mali ya chama! Tupunguze kutoa povu mdomoni kwa kutetea chama kinachokula pesa za mwananchi kwa matumizi yasiyo rasmi.
 
Katika kamati bure kabisa ni hii.Siri inazopata kutokana na kazi yake ndizo hizo Zitto anazitumia kuzipeleka vyombo vya habari na kuzielezea mikutano ya hadhara.Serikali isihangaike na wavujisha siri za serikali kwa vyombo vya habari kwa kuzitoa bure (au kuziuza?) Kamati hii inahusika.Hasa huyo mwenyekiti wake asiyeamini katika siri.Hiyo mishahara anayovujisha mikutano ya hadhara SIri hizo alizipata kupitia kamati hiyo.Huyu ndiye alisababisha gazeti la MWANANCHI LIFUNGIWE.Kama aliwapa bure au aliwauzia wajua wenyewe.Na ndio chanzo cha siri nyingi zinazotoka kwenye vyombo vya habari.Ni double agent.Ni SNOWDEN WA TANZANIA HUYO.anakula huku na huko huyo.Nafikiri naeleweka.

Vyama vyote vigome kutoa taarifa kwenye hiyo kamati isiyoamini juu ya siri.Vikiwapa wasubiri kuyaonma magazetini kama habari za uchunguzi au hotuba za mikutano ya hadhara.

Unapenda siri hata zinazolitafuna taifa... Akili zingine hizi.
 
Back
Top Bottom