S stanb Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 153 Reaction score 19 Apr 25, 2015 #1 Uhamisho wa vibali maalumu 2015. Walimu tarajali mnajisikiaje mnapokutana na hili.
M malimi katoro JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 358 Reaction score 154 Apr 25, 2015 #2 Hata hueleweki unamaanisha nini
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Apr 25, 2015 #3 PMO RALG. aka TAMISEMI
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 25, 2015 #4 Bila shaka utakua umetoroka mirembe
Mnyalu Junior JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 573 Reaction score 200 Apr 25, 2015 #5 Currents/Latest news zingine kutoka TAMISEMI ni hizi: Matumizi ya Vitabu vya Aina Moja kwa kila Darasa 15/04/2015 Serikali Yaagiza Shule Zilizofungwa Kufunguliwa 15/04/2015 Naibu Waziri Mh Kassim Majaliwa Ahitimisha Mafunzo ya STEP 31/03/2015 Rais Kikwete Afungua Rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya Wapya 19/03/2015 Naibu katibu mkuu afungua mafunzo Kujenga uwezo wa Ufundishaji na Ujifunzaji 17/0 Mwongozo wa Matengenezo ya Barabara za Wilaya Nchini 12/03/2015
Currents/Latest news zingine kutoka TAMISEMI ni hizi: Matumizi ya Vitabu vya Aina Moja kwa kila Darasa 15/04/2015 Serikali Yaagiza Shule Zilizofungwa Kufunguliwa 15/04/2015 Naibu Waziri Mh Kassim Majaliwa Ahitimisha Mafunzo ya STEP 31/03/2015 Rais Kikwete Afungua Rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya Wapya 19/03/2015 Naibu katibu mkuu afungua mafunzo Kujenga uwezo wa Ufundishaji na Ujifunzaji 17/0 Mwongozo wa Matengenezo ya Barabara za Wilaya Nchini 12/03/2015
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,792 Reaction score 16,956 Apr 25, 2015 #6 stanb said: Uhamisho wa vibali maalumu 2015. Walimu tarajali mnajisikiaje mnapokutana na hili. Click to expand... Ifike wakati JF kuwe na probation period ili kuirudisha credibility tuliyoipoteza lkn pia kumaintain.
stanb said: Uhamisho wa vibali maalumu 2015. Walimu tarajali mnajisikiaje mnapokutana na hili. Click to expand... Ifike wakati JF kuwe na probation period ili kuirudisha credibility tuliyoipoteza lkn pia kumaintain.