Pm yangu imejaa Text za Mademu tu

Pm yangu imejaa Text za Mademu tu

Kwema kabisa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu vipi weye? Naona kukaanga chips ishakuwa mtama kwa warembo ngoja nami nifungue sehemu yangu ya kukaanga chips nitaongeza na kachumbari. 😎
Kwema tu mkuu,chips imekua ni kama mtego mkuu.😀😀
 
zero IQ nakutuniku uwe mwenyekiti wa chama cha wagegedaji Tz (CHAWAGETA).. [emoji23][emoji23]

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom