Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
Nakuhamu mimiBado unapiga pesa za viewers kwenye blog yako mkuu. Nielekeze nikakuongezee view tafadhari.
Nakuhamu mimiBado unapiga pesa za viewers kwenye blog yako mkuu. Nielekeze nikakuongezee view tafadhari.
mi nakuhamu zaidi chamadeko wangu; hofu kwako tu. Kwa makomeo ya getini ya kuingia nyumbani kwangu wala simuhofii Mkuu Zero IQ nyumbani papo salamaNakuhamu mimi
Hii comment nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji38][emoji38]Subiri pumbu zipone Mkuu usije ukawaambukiza
[emoji41][emoji41][emoji41]
sijaupata bado mbona, alafu jana nilfika salama salimini japokuwa hujataka niulizia kabisaJamani
Halafu nimekutumia mzigo wako, sijui umeupata
haha mbona kama na wewe upo kwenye list vile Mkuu.[emoji23][emoji23] sipati picha ni mademu gani hao
[emoji3][emoji3][emoji3] nikikufata pm ujue nakuzimikia kinoma nomahaha mbona kama na wewe upo kwenye list vile Mkuu.
Jamanisijaupata bado mbona, alafu jana nilfika salama salimini japokuwa hujataka niulizia kabisa
aki sijaona tena amini. Sema najua unanizinguaJamani
Nisamehe mimi, pole kwa safari jamanii...
Hivi kweli hujaona?!
Mmmh mmmhaki sijaona tena amini. Sema najua unanizingua
haha ulivyoguna kama hauamini flan vile aki sijapata chochote, ningekuambia. wiki mbili tu wala si siku nyingi.Mmmh mmmh
Unarudi lini eti
Wiki mbili zote jamanii?!haha ulivyoguna kama hauamini flan vile aki sijapata chochote, ningekuambia. wiki mbili tu wala si siku nyingi.