Pm yangu imejaa Text za Mademu tu

Pm yangu imejaa Text za Mademu tu

Hiyo bila shaka ni chips jike, chips dume ni muhogo wa kuchoma umepasuliwa Kati na kuwekwa pilipili ya unga iliyochanganywa na chumvi unashushia na maji barrrrrridiiiiii [emoji23]
Alafu ukila bila maji pembeni wakati wa kumeza utakuta unashuka taratibu kama unasindikiza harusi

CC Zero IQ
 
Hiyo bila shaka ni chips jike, chips dume ni muhogo wa kuchoma umepasuliwa Kati na kuwekwa pilipili ya unga iliyochanganywa na chumvi unashushia na maji barrrrrridiiiiii [emoji23]
Mimi nataka chips jike. Dume hapana kwa kweli.
Halafu mbona kama naanza kukuelewa BAK au kwa sababu una idea ya kuanza kuuza chips[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nichagulie basi jina la kiosk changu nawe uwe mteja wangu wa kwanza ili uniletee baraka.

Mimi nataka chips jike. Dume hapana kwa kweli.
Halafu mbona kama naanza kukuelewa BAK au kwa sababu una idea ya kuanza kuuza chips[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nichagulie basi jina la kiosk changu nawe uwe mteja wangu wa kwanza ili uniletee baraka.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Ngoja nikutafutie jinaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pm yangu hapa JF imejaa text za mademu tu,kila demu anakuja na lake,
Jamani Tafadharini sana mi ni muuza kiepe tu msije mkanifirisi.

CC Zero IQ
We ulitaka ijae texts za ma chali au?
 
Back
Top Bottom