PM: Tukaishangilie Twiga Stars

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kushangilia Twiga Stars ili ishinde mabao mengi na kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele dhidi ya DR Congo....

"... Baada ya mechi ya leo, mchezo wa marudiano utafanyika baada ya siku 10 nchini DR Congo."

#Habari zaidi soma kiambatanisho,

Mwananchi
 

Attachments

  • IMG_20190405_082453.jpg
    IMG_20190405_082453.jpg
    216.4 KB · Views: 25
Twiga Stars oyeeee

Leo tukajitokeze kwa wingi Uwanja wa Taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom