Maramla JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 588 Reaction score 648 Feb 16, 2022 #1 PM: BEST WAY TO CONSERVE LOLIONDO NOT YET DECIDED Guardian baada ya kubumba stori ya PM atlast wametambua mwandishi wao ni wa mchongo na wamerekebisha, ukweli umesimama dhidi ya PAYROL
PM: BEST WAY TO CONSERVE LOLIONDO NOT YET DECIDED Guardian baada ya kubumba stori ya PM atlast wametambua mwandishi wao ni wa mchongo na wamerekebisha, ukweli umesimama dhidi ya PAYROL
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,202 Reaction score 25,378 Feb 16, 2022 #2 Sidhani kama mwandishi ni wa kubumba although ningeona wametoa hadhari au komradhi kwa late story hapo sawa. Kumbuka hilo ni gazeti la mfanyabiashara siyo mali ya serikali so wanabase na story kulingana na tukio.
Sidhani kama mwandishi ni wa kubumba although ningeona wametoa hadhari au komradhi kwa late story hapo sawa. Kumbuka hilo ni gazeti la mfanyabiashara siyo mali ya serikali so wanabase na story kulingana na tukio.