Plymonth Rock/ Bared Rock

Hahaaaa wenye wivu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wivu kivipi?umetueleza kwamba umenunua kuku(bared rock) kutoka ufaransa!!so unataka tufanyaje?....unauza ili tununue? au unataka tu tujue umenunua kuku kutoka ufaransa? au unagawa kwa anayehitaji? au wanaumwa unahitaji msaada? au kama ana sifa nzuri zaidi ya hawa tunaofuga katika mazingira yetu hujatueleza...binafsi sijaelewa dhumuni lako and by the way it is very childish to brag about what you have rather than care more about touching farmers in positive ways.
 
aje ajibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…