guys,help me out..nina laptop hp 620 haicharg betri,lakin inaoparate ikiwa pluged kwa umeme..
Nimejarbu several options ikiwemo kutoa na kurudishia betri lakin tatzo laendelea.plz help me out
mkuu usiogope natumia machine kama hiyo ikikwambia hivo inakuwa ikofulu charged yaani(100%)
jaribu ku-unplug utumie mpaka chagi iishe au ipungue kabisa ndo uplagi tena utaona inacharge!
aksanten wakubwa,ila hyo kesi ya 220v cdhan kama inahusika,manake laptop zngne znapiga kaz kama kawa.
Pili,cwez kabsa ku2mia bila kuiplug kwa umeme(haiwez boot 4rm battery,nikichomoa adapta na pc inazma)
Inawezekana pia betri ikawa ndo kwa heri mkuu...ungepata mtu mwenye pc inayofanana na yako ujaribu kuweka betri yake kwenye pc yako uone...mara nyingi betri ikifa ndo mambo hayo!!
guys,help me out..nina laptop hp 620 haicharg betri,lakin inaoparate ikiwa pluged kwa umeme..
Nimejarbu several options ikiwemo kutoa na kurudishia betri lakin tatzo laendelea.plz help me out
Kama una utaalamu kidogo ukipata tatizo lolote always stop ya kwanza ni tovuti ya watengezaji wa kifaa. kwa case yao HP
Ushauri
HP ina utility au nyenzo ya kucheck afya ya bettry na kukupa feedback. .Unachotakiwa ni kuipakua (Download) na kuisimika(Install) hiyo utilitykwenye mashine husika. Then fuata malekezo na ushari kulingana na wanavyoelekeza.
Inshu kama hiyo ilisha wahikunikuta katika laptop ya dell illa nilijua tatizo coz wakati huo charger ilikuwa mbali kwaiyo nikatafuta ya haraka coz it was a quick job. nilipata ya HP ila pin zilikuwa zina ingiliana na chamuhimu watu huwa wanaangalia output voltage kwenye stika ya charger, na kwa kesi yangu ziliingiliana
kitu ambacho nakushauri kabla hujaichomeka tafuta multimeter alafu pima current kwenye charger yako hakikisha inalingana na ile iliyoandikwa kwenye stiker ukiona inatofauti,basi jua hilo ndio tatizo, ila kama ni sawa basi tatizo litakuwa katika power supply ya laptop yako ambapo nakushauri uende kwa wakala wa hp hapa bongo