pls help me

pls help me

kisesa

Member
Joined
Apr 30, 2011
Posts
88
Reaction score
12
wanajamii tafadhali naomba ushauri ANTIVIRUS ipi nzuri niwezayo kutumia?
 
Mi natumia microsoft security essentials huu mwaka wa tatu na naona nzuri 2,jaribu kuipata,
 
Mi natumia microsoft security essentials huu mwaka wa tatu na naona nzuri 2,jaribu kuipata,
hata mi nakushauri GO FOR IT!! iko simple(haina complication nyiiiiingi) na inafanya kazi fresh sana tu...zaidi ya yote ni ya microsoft wenyewe na wanaitoa free ikiwa na features zote kama antivirus inavyotakiwa kuwa ...
 
Back
Top Bottom