Plot Bunju B square metre 500 kinauzwa 20ml, kimepimwa

Don Calvino

Senior Member
Mar 3, 2012
114
195
Kiwanja kipo upande wa bahari,dakika 10 kutoka barabara kubwa. Umeme upo jirani,mitaa imejipanga vizuri kwa ramani. Kimepimwa, kipo flat. Mwenye nacho ni mimi hakuna dalali. P.M ukitaka maelezo zaidi
 
Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,165
2,000
Kiwanja kipo upande wa bahari,dakika 10 kutoka barabara kubwa. Umeme upo jirani,mitaa imejipanga vizuri kwa ramani. Kimepimwa, kipo flat. Mwenye nacho ni mimi hakuna dalali. P.M ukitaka maelezo zaidi

11m kama upo seriuos nikulipe kesho asubuhi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom