PLIZ WADADA NISAIDIEN KUUSU HILI SWALA?

PLIZ WADADA NISAIDIEN KUUSU HILI SWALA?

kokunana1982

Senior Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
119
Reaction score
28
inawezekana msichana akawa na watoto wawili na kawanyonyesha lkn chuchu zake kwa mbele c nyeusi,

sijuh nimeeleweka hapo yaan kwa maelezo yake ana watoto wawili, lkn nimeshangaa kuona chuchu zake kwa mbele zipo kama hajawah kunyonyesha yaan ni peupe pee,
 
Kama wanawake wengine maziwa yanaongezeka maradufu akiwa mja mzito....wakati wengine yanavimba tu
 
Sasa wewe inakuhusu nini rangi nyeusi au kijani?
 
Kama wanawake wengine maziwa yanaongezeka maradufu akiwa mja mzito....wakati wengine yanavimba tu


nipo singida na li sem langu hapa napeleka mzigo mwanza sasa kuna manzi ananiambia haiwezekan mwanamke akanyonyesha chuchu kwa pale mbele zisiwe nyeusi,
 
Duh! kumbe wenye chuchu nyeusi mbele ni waliowahi kunyonyesha
 
swali la nyongeza; na zinazonyonywa na watu wazima pia zinakuwa nyeusi!???
 
Kuna mambo ukiyafuatilia sana utaishia kufa kabla ya wakati wako. Acha kujipa majibu ya mambo usiyoyajua
 
Back
Top Bottom