Please wadau ushauri to rescue my marrige

Please wadau ushauri to rescue my marrige

Pole sana... mi napenda kujua wakat anajifingua alipatwa na tatzo lolote? Alijifungua kawaida au operation, km kawaida alichanika au kuongezewa njia?? Afu ntajua jibu la kutoa
. Alichanika
 
Anaweza kuwa kuitumbukiza ndude anapata maumivu hivyo, muongee ili ujue kunani na kama anapata maumivu basi atakuwa anaimwa kwenye uke na matatibu yspo jaribu kuangalia startv au maeneo ya bungoni kuna Dr. Sio witch nonoo huwa anaongea kwenye tv
 
Usiogope. Ingia kwenye ndoa with an open mind sio na pessimism kwa kuangalia ndoa zingine. Each relationship is unique.
Pia usiwe na unrealistic expectations. Take each day as it comes.

Shukrani dada....
 
Back
Top Bottom