Mtuhurumawazo
Senior Member
- May 19, 2012
- 146
- 27
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninaishi na mke wangu ana umri wa miaka 24, tumefanikiwa kupata mtoto mmja wa kiume. shida kubwa nilionayo au tatizo linalojitokeza ni kwamba mke wangu hafurahii tendo la ndoa kabisa ila kabla ya kujifungua haikuwa hivyo na muda mwingine ndo hataki hata nikimgusa. nimejaribu kufikilia nakosa majibu wadau naomba mnisaidie maana mawazo ya nje kapu yameshaa kujengeka kichwani mwangu kitu ambacho kinapingana na nafsi yangu mno maana huu ndio mwanzo wa kujenga familia isiyo na mwelekeo.