Please usiweke mate

Please usiweke mate

Ni tabia mbaya na wengi mnaatarisha afya zenu wakati unapotaka kuesabu pesa unalamba kidole alafu ndio unaanzakuesabu. Kuna wengine wanatemea vidole mate kabisa yaani mate mpaka unayaona alafu eti ndio anakuhesabia pesa. Ndio najua mate ni kilainishi lakini sio kwenye noti. Mate yana pahali pake bwana. Wacha hiyo tabia.
Views mpk sasa book na kitu yaani ungesema wakati unahesabu hela usiweke mate views wangekuwa labda 150 hivi daah we kiswahili lazima ulifaulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom