Kama kweli wewe ni mtaalamu, jaribu kujiprotect wasiku-BAN hata ukiwatukana matusi members humu.
anitajie mahali nilipo, IP Address yangu, Jina langu, Jina la Computer yangu, Service Provider ninayetumia, kama natumia Modem au Wired network, gateway, router address yangu nk.
Kama umeshatumia facilities za CMS kama vbulttin , Wordpress, Joomla utagundua uwa administrators wana acess na information nyingi kuhuus user. moja wapoikiwa ni Ip adress na hata email uliyosajili nayo( Iwe ya kweli au uwongo)
kama umeshwai kutumia sript kama za google anaytics au nyinginezo zile za real time utagundua kuwa pia admin unaweza kujua specific Ip adress user wake alikuwa anatumia OS gani , ISP wa hiyo Ip , Brorser gani unatumia na version gani. Google analytics ni nzuri lakini haitoi real time. scammer wanatumia real time analytics tools zinazowasaidia na kurahisisha kai yao ...
Kwa kujua email iwe ya kweli au ya uwongo scammer anaweza kukutumia email fulani inayoonekana ni credible mbinu hiyo inaitwa social engineering- Social engineering (security) - Wikipedia, the free encyclopedia ( winigeria wanaitumia sana )ambapo wewe mwenyewe unaweza kuamalizia kujianika na kutoa data zako bila kujua........
Unaweza kuanza kulink email na faceboook account ili kuona kama unaweza kutegua kitendawili cha uhalisia wake........
Ni ngumu lakini kwa kutumia nyenzo sahihi ukiwa na muda na kianzio cha data ndogo tu mtu anaweza kufumbua fumbo la wandima ni nani. Ndio maana inabidi tuwapogeze mod wa jf kwa kukeep onfidentiality sabau hata kama data tulizoweka ni za uwngo kuna uwezekano mtu mmwenye nyenzo sahihi akijumlisha moja na mbili atajua wandima ni nani.
So kwa huo mtihani uliotoa kwa mod wa jf ni kazi rahisi kidogo Otheriwise tembela hii blog yangu ya mazoezi teknohama-Bongo - then andika coment moja. Naweza nisijue jina lakini nitajaribu baadhi ya data zako kwa msaada wa nyenzo saidizi. teh teh teh teh
| IP X.X.120.251 |
| Celtel Tanzania |
| Celtel Tanzania |
| Suspected network sharing device |
| Unknown |
| Static IP |
| Tanzania, United Republic of |
| Dar es Salaam |
| Dar Es Salaam |
| -6.8 |
| 39.2833 |
IP X.X.120.251 Celtel Tanzania Celtel Tanzania Suspected network sharing device Unknown Static IP
Tanzania, United Republic of Dar es Salaam Dar Es Salaam -6.8 39.2833
Kwa hiyo mpaka hapo kama ni traicng najua namtafuta mtu yuko dar na ni mteja wa Celtel. Japo unatumia IP adress ya shared na hiyo ni info ya kawaida tayari imenipa kianzio. Sasa ningekuwa pia nina email yako iwe ya kweli au ya uwongo pia naweza kutumia kutafuta baadhi ya ata kama nilivyosema kule juu.
Na ukifutilia unaweza kukuta wateja wa celtel wanaotumia Ip dress hiyo ni wa eneo fulani tu eg posta na kinondoni au Gongolamboto. So u can minimise and minimise searching criteria mpaka una baki na wigo mdogo.
Unaweza pia kutimia comments za wandima jf kujua ni mtu wa fani gani au anajshughulisha na nini sana sana . Hii inaitwa profiling kama umeshaangalia vipindi vya CSI basi kuna mbinu zao zinaweza kutumika. teh teh teh.
Mkuu ni kazi ngumu lakini inawezekana kabisa......... teh teh teh teh .
Aisee baadae ngoja waje wataalam ngoja nikapate moja moto moja baridi kwanza.

Nakujua sana wewe, wewe si Wa Ndima?
sasa wandima jamaa kaweza au la hasha.mie naweza kama nikipata email msg yako.
IP X.X.120.251
Celtel Tanzania
Celtel Tanzania Suspected network sharing device Unknown Static IP
Unaweza pia kutimia comments za wandima jf kujua ni mtu wa fani gani au anajshughulisha na nini sana sana . Hii inaitwa profiling kama umeshaangalia vipindi vya CSI basi kuna mbinu zao zinaweza kutumika. teh teh teh.
Mkuu ni kazi ngumu lakini inawezekana kabisa......... teh teh teh teh .
Aisee baadae ngoja waje wataalam ngoja nikapate moja moto moja baridi kwanza.
Mtazamaji hebu jaribu tena nimekudondoshea Comment kwenye site yako