Ila kweli inabidi wafanya
e hivyo maana kila siku wanatoa version mpya mpaka wateja wamechanganyikiwa, ona juzi tu wameitoa samsung galaxy s4, leo s4 ni ordinary na s5 itazinduliwa tarehe 24 mwezi huu, kabla mwaka huu haujaisha utasikia wameleta galaxy s6