buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Vp na nyie mkishindwa mtakubali matokeo au ndo mtaenda mahakani kama akina Hawa Ng'humbi na Batilda??
cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi visingizio pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!rais ana wabunge 20!!! Kwa hali ilivyo igunga now no way chadema wanaweza kushinda,no way!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya yanga na simba.
Mtu makini angendika hivi:Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Nakuunga mkono, kwamba CHADEMA wakubali matokeo, hata kama watashinda kwa kura chache, si lazima wapate kura nyingi sana,ushindi ni ushindi tu, niwajuavyo chadema watakubali tu kama walivyokubali UBUNGO, KAWE,ILEMELA,NYAMAGANA ambako kelele za vyura(Magamba) zilikuwa nyingi kiasi cha kuathiri masikio ya mwasimamizi wa uchaguzi hadi wakatangazi kwa sauti za chini kama wako kwenye barafu.
Mtu makini angendika hivi:
[h=2]Please! Please! Please CHADEMA, CCM, CUF, NCCR MAGEUZI...............nawaomba mkubali matokeo Igunga[/h]
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.
Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.
Bangi mbaya sana,hivi umevuta ya Malawi?
Umetumwa eeeh! Tuliza masaburi kama yanakuwasha yakune.
Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka
Cdm ndio chama cha wavuta bange
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.
kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.
Yakhe ubwabwa twala? Kama hakuna kitoweo nenda kwenye shamba la kiti moto la DC Kimario kule Tegeta ukashike mfugo mmoja kwa ajili yako na wanazuoni wenzako mliotoa tamuko.Cdm peke yao ndo wanatabia ya kupinga pinga matokeo hovyo and kitoto bila kuwa na ushahidi, vyama vingine havina UPUUZI HUO
Mi binafsi siamini kama wewe ni mtu,mi nadhani utakuwa magician,hawezekani ukawa binadamu wa kawaida ukawa unaleta pumba namna hii halafu unasema unaipendatz,hivi ccm ina msaada gani kwa tz.We punda kwelikweli,usilete ujinga wakati ccm inatutesa,huwezi kuleta thread za maana kojoa ukalale ngwichilo mkubwa sana.Cdm peke yao ndo wanatabia ya kupinga pinga matokeo hovyo and kitoto bila kuwa na ushahidi, vyama vingine havina UPUUZI HUO