Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Unataka Rais awe na wabunge wangapi? Km kura za rais ndo zinaamuliwa na idadi ya wabunge basi uchaguzi wa rais tusifanye ila aongoze mwenye wabunge wengi. Unajua jimbo moja la Zanzibar lina wapiga kura wangapi au unaongea tu? Majimbo yote ya Zanzibar wapiga kura wake hawalingani na wapiga kura wa majimbo ya Dar, ila Zanzibar kuna majimbo zaidi ya 30 na dar kuna majimbo 6. Jaribu kutumia akiri kidogo tu kwani hii haihitaji degree ili uelewe nini cha kufanya.
 
Wehu huwa wehu siku zote!ccm wameshindwa dr kafumu kafumuliwa tayari hawakubali, sign please matokeo yaende hewani!mnadhani watu wajinga wanawaangalia tu kila siku mnaahidi!
 
My generation… the generation of the independence struggle– must now give way to new ideas; ideas for the 21st century. From this defeat, a new, younger mmd will be re-born. If i can serve that re-building, then i will.by rupia banda-former zambian president!
 
naipendatz, lakini wewe huipendi tanzania unaipenda tz,yatakutokea puani siku moja huoni aibu wananchi wa igunga hawatumii sukari badala yake wanatumia unga wa superdeep kama sukari,au kwa sababu wewe ni mkia wa ccm unakula walivyoiba hao wanaojiita mafisadi,hatutaki shake before use comments.
 
Cdm chaliiiii! Kafumu amewafumua
Wehu huwa wehu siku zote!ccm wameshindwa dr kafumu kafumuliwa tayari hawakubali, sign please matokeo yaende hewani!mnadhani watu wajinga wanawaangalia tu kila siku mnaahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…