Please Naombeni Jibu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please Naombeni Jibu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TandaleOne, Sep 4, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hivi Dr.Slaa atafanya nini baada ya uchaguzi??Cos muelekeo wa upepo unaonyesha hatakuwa Magogoni.Any idea???
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Atamuoa nani hii wako
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Hivi kikwete atafanya nini baada ya uchaguzi? Maana habebeki hata kwa mbeleko.....
  Kwani wengine wanafanya nini baada ya uchaguzi?
   
 4. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete atapata aibu kubwa this year....wananchi wamekosa matumaini....!
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Bora awe rais kwani bila hivyo maisha ya ccm yatakuwa hatarini zaidi kwani mpaka sasa wanatafuta sumu kwani binadamu pekee anayewakosesha usingizi wa ulaji ni dr.slaa ndiyo maana mpaka wameamua kutumia pesa walizoiba epa kuamua hata kusambaza vijarida vya bura kueneza uzushi na mambo binafsi.......................bora tu awe rais kwani akina makamba hawatasalimika tena...........
   
Loading...