Please help on how to get UK VISA

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
 
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
Wewe una matatizo na nafikiri hutaki kujua kama una matatizo! unauliza mambo ya VIZA kwenda Uingereza wakati kila kitu kipo mtandaoni? kama upo Dar sie uende Ubalozini au kama uko mbali si uangalie kwenye website yao nina uhakika kwa maana wana uelewa mkubwa sio kama wako wameweka maelezo yote humo! usitupotezee muda!
 
Sasa nina anza kuamini ile dhana kuwa jina linabeba baadhi yatabia, matendo na mienendo ya mtu. Www Janaja Pori rudi Porini ukajipange upya.
 
Wewe una matatizo na nafikiri hutaki kujua kama una matatizo! unauliza mambo ya VIZA kwenda Uingereza wakati kila kitu kipo mtandaoni? kama upo Dar sie uende Ubalozini au kama uko mbali si uangalie kwenye website yao nina uhakika kwa maana wana uelewa mkubwa sio kama wako wameweka maelezo yote humo! usitupotezee muda!

Ungesoma na kuignore mkuu wangu nadhani asingekupotezea mda, ila ungemjibu kiustaarabu ingekuwa vizuri zaidi, wengi wapo mjini ila hawajui mambo ya mtandao kama wewe...
 
Zaidi Janja pori nasikia nowdays kila kitu kinafanyika kenya na pale kenya kweye ubalozi wa UK kuna officer mkenya mnoko sana hatoi VISA kwa wa TZ kesi nyingi zinakuwa rejected na anawapa VISA wakenya wenzake, so mkuu wangu omba mungu maana TZ hapo kuna ubalozi wa UK ila waliona ni expensive sana kushughulikia kote kote na kenya ni karibu so walichofanya applications zote mkituma hapo Embassy ya UK dar forms zote zinapelekwa kenya ndio wanaenda kuamua everything..sasa kenya ndio kuna huyo officer mnoko sana so omba mungu ukituma forms zako upate majibu mazuri.
 
Ungesoma na kuignore mkuu wangu nadhani asingekupotezea mda, ila ungemjibu kiustaarabu ingekuwa vizuri zaidi, wengi wapo mjini ila hawajui mambo ya mtandao kama wewe...
Hapana sikubaliani na wewe, ni lazima ni mwambie ili siku nyingine asumbue akili kidogo kabla ya kuamua kufanya jambo vile vile ni kwa faida yake! Ameweza kuitafuta JF kwenye mtandao ashindwe kugoogle Ubalozi wa wa nchi?
 
Back
Top Bottom