Mkuu ingia hapa http://www.captureitota.com/ then download, hii ni the best app kwa upande wangu. Haina watermake kama nyingine ..
Baada ya kudownload ingia Options
html>
301 Moved Permanently
301 Moved Permanently
nginx
Baada ya options ingia Screen/keyboard
html
Content-Length: 178
Connection: close
Location: [url]http://tapatalk.com/action_add_image.php[/url]
[img]http://tapatalk.com/action_add_image.php
301 Moved Permanently
301 Moved Permanently
nginx
[/IMG]
Kama unavyo ona kwenye picha juu hapa kwenye "Left side convinience key opens" nime setting Capture It, nawe click hapo na utafute hiyo software.
Baada ya kufanya yote hayo tayari utakuwa na uwezo wa kuchukua screen shots za simu yako kwa kubonyeza botton ya kushoto kwako. Na images zote zitaji save kwenye SD yako.