Haha tehe kweli usingizi noma, kuna mwingine alikuwa mzee wa baraza mahakamani, kesi ilikuwa mwanamme kamtongoza mke wa mtu ktk kuulizana maswali na majibu ikafika steji mshtaki alikuwa mwanamke akasema kwa kweli maneno aliyoyasema mtuhumiwa siwezi yasema hadhari basi ikaamliwa yaandikwe halafu kile kikaratasi kipite kwa kila mjumbe akisome, huyu mzee wa baraza aliyekuwa anasinzia, upande wake wa kushoto kilikotokea kikaratasi alikuwa amekaa mama mtu mzima hivi, basi kile kikaratasi kikamfikia yule mama akakisoma, mzee wa baraza km kawaida kauchapa usingizi ikabidi yule mama amshtue na kumkabidhi, mzee akasoma kile kikaratasi kwa kuwa alikuwa usingizini hakusikia ni nini kilikuwa kinaendelea basi akamaka kwa sauti ya furaha kidogo TWENDE BASI SASA HIVI, anamwambia yule mama pembeni yake, baraza zima likaangua kicheko kumbe kile kikaratasi kilikuwa kimeandikwa TWENDE TUKAFANYE MAPENZI.
Hiyo tayari ni kesi nyingine, inabidi baraza lingine liitwe!Haha tehe kweli usingizi noma, kuna mwingine alikuwa mzee wa baraza mahakamani, kesi ilikuwa mwanamme kamtongoza mke wa mtu ktk kuulizana maswali na majibu ikafika steji mshtaki alikuwa mwanamke akasema kwa kweli maneno aliyoyasema mtuhumiwa siwezi yasema hadhari basi ikaamliwa yaandikwe halafu kile kikaratasi kipite kwa kila mjumbe akisome, huyu mzee wa baraza aliyekuwa anasinzia, upande wake wa kushoto kilikotokea kikaratasi alikuwa amekaa mama mtu mzima hivi, basi kile kikaratasi kikamfikia yule mama akakisoma, mzee wa baraza km kawaida kauchapa usingizi ikabidi yule mama amshtue na kumkabidhi, mzee akasoma kile kikaratasi kwa kuwa alikuwa usingizini hakusikia ni nini kilikuwa kinaendelea basi akamaka kwa sauti ya furaha kidogo TWENDE BASI SASA HIVI, anamwambia yule mama pembeni yake, baraza zima likaangua kicheko kumbe kile kikaratasi kilikuwa kimeandikwa TWENDE TUKAFANYE MAPENZI.