[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Board of Directors
CRDB BANK PLC BOARD OF DIRECTORS
The Board consists of ten (10) Directors (including the Chairman). The names of the Board of Directors are as shown below:
Martin J. Mmari- Tanzanian
(Chairman of the Board)
Boniface C. Muhegi- Tanzanian
Joyce W. Luhanga- Tanzanian
Bede P. Lyimo- Tanzanian
Joseph C. Machange-Tanzanian
Joyce N. Nyanza- Tanzanian
Ally H. Laay- Tanzanian
Kai Kristoffersen- Danish
Juma A. Abdulrahman-Tanzanian
Hon. Frederick T. Sumaye- Tanzanian
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hizi benki kubwa kama CRDB, NMB na NBC si za kufungua akunt, ukitaka ufurahie huduma za kibenki fungua kwa zile benki ndogo ambazo ndo zinaanza au hazina wateja wengi, CRDB ukiingia ndani kwanza mpaka uje usikilizwe nusu saa imepita, wakati benk hizo ndogo ukiingia ndani ya sekunden ulisha sikilizwa, Watu wanazani ni sifa kuwa na akaunt CRDB sijui NBC, ila kiukweli Benki zenye wateja wengi mara nyingi service zao ni pure,
Tafuta benki hizi ndogo utaona tofauti kubwa sana
Hamia benki ndogo kama vile Akiba Commwecial Bank Plc. Usiweke mayao yako yote kwenye kikapu kimoja kikianguka je? Diversify your accounts sio kuweka fedha kwenye benki kubwa tu weka na kwenye benki ndogo kwa usalama na huduma zilizo bora!!
We unajua sheria za kuanzisha Benki? Ingekuwa Benki ikifilisika na pesa za wateja ndo basi watu wasingetunza pesa Benki,
Nadhani benki yako haijakuelimisha kuwa mara wakifilisika bima yao ina limit ya amount ambayo watakurudushia wewe mteja kati ya fedha yako uliyoweka benki!! Amka nenda kawaulize bankers wako bima yao ina kikomo gani cha kulipa iwapo itafilisika, ndio maana diversification ya accounts is a safe strategy!! Nenda ukapate elimu ,usije ukaliwa huko mbele benki kufilisika si ajabu; kulikuwepo na Greenland Bank na Meridien Biao hapa nchini benki ambazo they went belly-up na watu wakalizwa, wakati huo Idris Rashid akiwa gavana wa Bot pengine ulikuwa hujazaliwa.!!!