BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Habari za kazi? Hivi bano tax holiday ipo hapa nchini kwetu au ilishafutwa? What I understand ni kwamba tax holiday ipo kwa strategic investors ambao wana invest more than $25m ila kuna mtaalamu wa kodi humu JF kaandika sehemu kuwa ilishaondolewa tangu mwaka 2000. Tafadhali nijuzeni kwani kuna investment kubwa tunategemea kufanya na hii ni moja ya factor ambayo itawavutia hawa invetors