Pleas help !!! Huawe u8680

Pleas help !!! Huawe u8680

fazsb

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
50
Reaction score
5
nawasalimu wote !!! mimi ni mgeni kwenye ANDROID devices , kuna simu nimetumiwa kutoka U.S.A
inaitwa HUAWE U8680 ni device zinazosambazwa na kampuni ya simu ya T-mobile , sasa imekuja na ginjerbread v 2.3.6
nimejaribu ku update normal using software yake inasema current up to date . nime google custom rom bila mafanikio
,nimejaribu njia kadha za ku root bila mafanikio . naombeni mnisaidie jinsi ya ku update hata ifike ics 4.0.1 .
nimelowea kwenye IOS

msaada
msaada
 
Chance za kuweka ICS kwenye hiyo simu ni almost zero, hata ukiiweka haitaperform vizuri kabisa, bora uridhike na Gingerbread tu. Ni kwanini unataka kuweka ICS?
 
mdau kang ! nataka nipate new features na uwezo wa kupata root access , kwakweli mi si mtumiaji wa kawaida wa simu
, means napenda kuwa huru na device yangu , kuna craps nyingi tu za T-mobile zinazokula charge ndo nataka nizitoe
na pia baadhi ya apps (apk) lazima niwe na root access
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom