Wadau,mimi ni kijana wa miaka ishirini na nane,nina degree ya uhasibu na nilifanikiwa kupata ajira soon after chuo,nikiwa nimeshaanza kazi,nilianza mahusiano na binti wa miaka 18 nikiwa naamini mahusiano yetu ni ya kawaida tu na hayataenda mbali mpaka kufikia hatua ya kupat mtoto..binti alipata ujauzito na ikawa ni vita baina ya wazazi wake na mimi,Mungu saidia akajifungua salama mtoto wa kike ambaye ana umri wa mwaka mmoja sasa,binti bado anaishi kwao ilhali nikiendelea kutoa matunzo ya mwanangu kila mwezi,nikiwa kazini,nikakutana na binti mfanyakazi mwenzangu,huyu yeye anaye mpenzi wake ambaye wamekuwa katika u boi na u gel friend yapata miaka minne sasa,ishu ikaanza baada ya boi friend wa dem kupangiwa kazi mkoa wa mbali na dem wake,sikujua mwanzon kama dem ana mtu,nikapiga sound na haikuchkua muda niaanza uhusiano ambao sikujua mwisho wake utakuaje,coz sikudhani kama nampenda toka moyoni,nilimchkulia kama wakuzugia tu,issue ikakomaa na dem akaanza kuwa na wivu wa ajabu ajabu..mara niachane na issue za mtoto nimuoe mara nn...nikawa najibu vizuri tu ili uhusiano usife..ikafika kipindi na mimi nikahama kampuni niliyokuwa nafanya kazi na kuhamia mkoa wa mbali pia,boi frnd wa jamaa akawa anamtebelea manz ake kipindi cha likizo na kujisepa..niliamini sababu niko mbali uhusiano utakufa..dem akawa analalamika saaana..anataka tuonane koz ame ni mis na ananipenda saana..issue ikawa ni umbali uliopo kati yetu...kuanzia boi frend wake apate kazi mkoani dem hajawahi kumtembelea lakini ingawaje mm niko mbali kuliko hata jamaa wake alipo dem amenifuata na tumepiga bata takatifu mpaka ananiambia anamuacha jamaa wake..sio dem wa vizinga na inaonekana kweli ananipenda,na baada ya kukutana huku mkoani hata mimi sasa nimeanza kumkubali na namfikiria saana,issue ni mtoto wangu na yule mwanakmke niliyezaa nae..ni mstaarabu na mpole na analea vizuri sema moyoni mwangu hayupo...napata wakati mgumu coz dem ananiambia nimuache yule wa kwanza mwenye mtoto na yeye atamuacha jamaa tuoane!...jamaa wa dem anampenda sana na kumgaramikia pia...napata ugumu kufanya uamuzi!
napita tu,Wadau,mimi ni kijana wa miaka ishirini na nane,nina degree ya uhasibu na nilifanikiwa kupata ajira soon after chuo,nikiwa nimeshaanza kazi,nilianza mahusiano na binti wa miaka 18 nikiwa naamini mahusiano yetu ni ya kawaida tu na hayataenda mbali mpaka kufikia hatua ya kupat mtoto..binti alipata ujauzito na ikawa ni vita baina ya wazazi wake na mimi,Mungu saidia akajifungua salama mtoto wa kike ambaye ana umri wa mwaka mmoja sasa,binti bado anaishi kwao ilhali nikiendelea kutoa matunzo ya mwanangu kila mwezi,nikiwa kazini,nikakutana na binti mfanyakazi mwenzangu,huyu yeye anaye mpenzi wake ambaye wamekuwa katika u boi na u gel friend yapata miaka minne sasa,ishu ikaanza baada ya boi friend wa dem kupangiwa kazi mkoa wa mbali na dem wake,sikujua mwanzon kama dem ana mtu,nikapiga sound na haikuchkua muda niaanza uhusiano ambao sikujua mwisho wake utakuaje,coz sikudhani kama nampenda toka moyoni,nilimchkulia kama wakuzugia tu,issue ikakomaa na dem akaanza kuwa na wivu wa ajabu ajabu..mara niachane na issue za mtoto nimuoe mara nn...nikawa najibu vizuri tu ili uhusiano usife..ikafika kipindi na mimi nikahama kampuni niliyokuwa nafanya kazi na kuhamia mkoa wa mbali pia,boi frnd wa jamaa akawa anamtebelea manz ake kipindi cha likizo na kujisepa..niliamini sababu niko mbali uhusiano utakufa..dem akawa analalamika saaana..anataka tuonane koz ame ni mis na ananipenda saana..issue ikawa ni umbali uliopo kati yetu...kuanzia boi frend wake apate kazi mkoani dem hajawahi kumtembelea lakini ingawaje mm niko mbali kuliko hata jamaa wake alipo dem amenifuata na tumepiga bata takatifu mpaka ananiambia anamuacha jamaa wake..sio dem wa vizinga na inaonekana kweli ananipenda,na baada ya kukutana huku mkoani hata mimi sasa nimeanza kumkubali na namfikiria saana,issue ni mtoto wangu na yule mwanakmke niliyezaa nae..ni mstaarabu na mpole na analea vizuri sema moyoni mwangu hayupo...napata wakati mgumu coz dem ananiambia nimuache yule wa kwanza mwenye mtoto na yeye atamuacha jamaa tuoane!...jamaa wa dem anampenda sana na kumgaramikia pia...napata ugumu kufanya uamuzi!
napita tu,
huwa sichangii mada mbofu mbofu kama hii.
Moja:Uache uzinzi kwanini umeendelea kuwa na huyo mwanamke ikiwa unajua ana mtu wake?Huyo mwanamke si wa kumuamini kama amecheat na wewe,lipi linalokufanya unaweza kumuamini na asiweze kukucheat ukimuoa au mkiwa officially kwenye mahusiano?Hujui kama mapenzi yanachujuka muda ukienda?
If you think you can at least try to love your baby mamma that would be lovely for your child!Unaweza kujifunza kumpenda mfungulie moyo wako!Ila Kama unaona huwezi kumpenda huyo mzazi mwenzio huna haja ya kuwa nae,kwasababu hata ukiwa nae mtakuwa hampendani utaishia kucheat na atakayeathirika ni nani?MTOTO OFCOZ...
Mtoto muache alelewe na mamaake au kama mtashirikiana ni sawa pia.
Huo ni ushauri wangu kwako kwa sasa jipange vizuri!!
he he he...nikasema huyu Mashaxizo vipi kanipokonya tonge mdomoni loh!!Sasa si ndo ushaongezea ww hio ya kumuoa aliempa mtoto!!Akili zako changanya na za mwenzako!!Mwee! Nimebandika kalike wakati na reply with Quote kamebanduka!!! Haka kameo kanasumbua!!!
...
Usimpe jamaa kuchagua! Love ir created as well as being destroyed!Amuoe aliempa mtoto tu!
he he he...nikasema huyu Mashaxizo vipi kanipokonya tonge mdomoni loh!!Sasa si ndo ushaongezea ww hio ya kumuoa aliempa mtoto!!Akili zako changanya na za mwenzako!!