Mmasai Asilia
Member
- Jul 22, 2015
- 48
- 6
Hapana mkuu,Kubadili apn umejaribu?
Kubadili apn umejaribu?
Nenda setting halafu kwenye wireless and network click more network halafu nenda mobile network halafu acess point name.Hapana mkuu,
Hapo jinsi ya kubadili APN ndio mziki, Msaada wenu wa kunielekeza, au nibadili mtandao mwingine?Ajaribu Apn Ya Mtandao Anaotumia
Simu yangu ni Double Line, line ya Kwanza ambayo ni Voda ndio natumia kwenye internet, Tigo kwa ajili ya mawasiliano ya kawaidaNenda setting halafu kwenye wireless and network click more network halafu nenda mobile network halafu acess point name.
Angalia kama kuna apn na kama ipo ni ya namna gani? Apn zenye proxy kama wap zinakataa kwenye modern apps kama playstore.
Kwa uhakika zaidi tengeneza apn mpya
Connection andika chochote
Apn andika internet
Save halafu jaribu upya kuingia playstore
Simu yangu ni Double Line, line ya Kwanza ambayo ni Voda ndio natumia kwenye internet, Tigo kwa ajili ya mawasiliano ya kawaida
Nimekwenda mpk kwenye Apn unayosema nimekuta imeandikwa Internet,alafu kwenye Name : Vodawap, huku kwengine hakujajazwa,...Nifanyaje maana bado SERVER ERROR inarudi
Nimenunua simu mpya aina ya Samsung duos gt-7582, tatizo linakuja kwenye Google PlayStore, kila nikitaka nidownload Application yoyote kama vile Whatsapp inaniletea message ikisema SERVER ERROR, nimejaribu kuremove account lakini wapi, nimeclear lakini wapi, mpk wifi ya bure nimejaribuy ku2mia lakini wapi, msaada wenu. au ndio nimeshapigwa changa la macho?