ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,716
- 3,591
Hakuna anaekodisha ps humu maana kitambo mno sijacheza 👀👀
Torrent games 4 jailbroken ps3s wengine tunaprefer online services ndo maana tunatumia cds

mi naenda online vizuri tu na torrent games. hebu nitafute nikuonyeshe ujanja Sema the only difference kati ya mimi na wewe ni kwamba siwezi jiunga na PSN Plus (and I dont need it anyway) na I run the risk ya kufungiwa account yangu
leh sure cd ni ghali ila me nanunua fifa tu per year inatosha zengine naagiza ebay kwa bei nafuu(used) main reason ni kwamba nina superslim ps3 no jailbreak labda utumie cobra ode ambayo bei ni noma
hapo nimekuelewa kaka. nimekuPM username yangu ya psn na digits zangu ili tukutane hapo fifa 15. i game online mostly usiku
Ps4 console au cd? Kama console unapata kwa 1 million bongo ila nje hata laki 7 unapata
samahani mkuu mi mgeni na mambo haya but natamani kuyajua, naomba kujua tofauti ya console na cd games.nawasilisha
Console ni deki inayocheza game eg playstaion console au xbox hizo ni consoles cd games limejielezea ni cd za games ambazo huchezwa kwenye consoles
kama amekuwa akitumia hiyo PS3 then likelihood ya kuwepo 3.55 na kushuka ngumu sana. na kama hana mazoea ya jailbreak utampoteza tu maana 3.56 na kupanda anahitaji dongle + soldering uzoefu. kuna vitu vya kumwambia mtu afanye na google, lakini sio kama hiki
Any PS4 members? Play Online?? Oh and i have quite the library for my old PS3 games. Will sell them as a bundle. All brand new(stored away after i finished playing the game) $60 a game(receipts inside) so that's a $600 value collection. I'm selling everything for $100. The catch is, siishi bongo. Nipo marekani. So i don't know what shipping methods you'd prefer. I had GTA 5 but gave it away.
Mkuu hauuzi separately? Me nataka red dead redemption na call of duty