PlayerPro ni android app bora yakuplay miziki katika simu yako

PlayerPro ni android app bora yakuplay miziki katika simu yako

Mimi natumia app 2 ku-play music
1.MusicXmatch-Hii naipenda sana kwa sababu ya lyrics na ni user friendly

2.Rocket Player-hii ukiconnect earphone kwenye simu inaanza kupiga music

Nimejaribu hizo TTPod hakuna jipya,but Player Pro nimeikubali kidogo tatizo sio free
 
hakuna app yeyote inagusa poweramp jaribu kudownload trial utaniambia...hata kama una zile earphone ya jero za kkoo unaweza kuhisi unatumia beats by dre
 
Mbona mimi tayari nimeroot simu na kila hatua nimefanya bt bado yaan inazingua tuu
 
Embu wakuu nisaidieni natafuta headphone nzuri lakini ziwe bei ndogo za simu
 
Naomba msaada mkuu wa kuipakua hiyo poweramp full version maan kila site nikiipakua baada ya muda inataka license asa naomba msaada ulipoipakua wewe huko ma torrent kote chenga mkuu

Ndipo shida inapokuja hapo ya poweramp.
 
Unapokuwa na musixmatch... Na player pro. Ni raha tu na earphones. Karibuni
 
Attachments

  • 1433136307307.jpg
    1433136307307.jpg
    37.3 KB · Views: 180
Volume hapo sijamaliza. Ila i got the fantastic voice... With stable bass. 👏👏💃
 
Attachments

  • 1433136699990.jpg
    1433136699990.jpg
    45.3 KB · Views: 166
Nimejaribu pamoja na N7player, sijawa satsfied kama hii pp.
waliponimaliza ni kweye DSP pack.
mie natumia apollo music player (cyanogenmod) na VIPER4Android zote zimekuwa ported kutoka cyanogenmod kwenda kwenye stock rom,
 
Ukishaenable MusicFX, utaweza kufurahia music wenye best quality.

MusicFX hata stock music player inakuja nayo kuanzia android 4.2.2 sijajua below that.
ila ni invisible mpaka utumie root access apps kuiona, mana inajiautomate.
 
mie natumia apollo music player (cyanogenmod) na VIPER4Android zote zimekuwa ported kutoka cyanogenmod kwenda kwenye stock rom,

Zinaplay folders of music bro ?
mana kucreate playlist ni dump of work mana cjaplay around with cynogen rather than paranoid and carbon.
 
Wapendwa nnakapc kangu aina ya dell e6400, inanigomea kuingiza charge ila nnaweza kutumia Kama desk top.
Naomba kufahamu tatizo, je Ni adaptor battery charging system au umeme ninaoutumia?
 
Wapendwa nnakapc kangu aina ya dell e6400, inanigomea kuingiza charge ila nnaweza kutumia Kama desk top.
Naomba kufahamu tatizo, je Ni adaptor battery charging system au umeme ninaoutumia?

Chukua charger nyingine chomeka, isipoingiza charge ujue ni battery. "probably"

Next time don't run out of the track.
 
Chukua charger nyingine chomeka, isipoingiza charge ujue ni battery. "probably"

Next time don't run out of the track.

Thank you for your remainder, but i had no choice, la sivyo ningeanzisha thread, kitu ambacho sikuona Kama Ni sahihi.

Time hii computer inaniandikia no battery detected
 
Back
Top Bottom