PlayerPro ni android app bora yakuplay miziki katika simu yako

Katika music players nilizotokea kuzikubali, Poweramp music player ni ya kwanza, ishu ni kwamba hii app ni trial, kwa wale wanaonunua hawana tatizo, ila kwa wale wapenda mteremko watahitaji kuwa na root access ili waweze kuipatch hii app.
Ukishaenable MusicFX, utaweza kufurahia music wenye best quality.

Amina Mdau, attachment ya mwisho imenipa utukufu sana... Una album nzima ya Legendary huyu Lamar.....?
 
Nina discography yake yote...

I was in the city with nigga had seen that shit !
.... The game & Kendrick

nimeielewa sana ile ngoma, mpaka Nikki Mbishi kamcopy

Songa nae idea ya beef naona ilikuwa ha B.I.G "what's beef"
kazi tunayo
 
Katika music players nilizotokea kuzikubali, Poweramp music player ni ya kwanza, ishu ni kwamba hii app ni trial, kwa wale wanaonunua hawana tatizo, ila kwa wale wapenda mteremko watahitaji kuwa na root access ili waweze kuipatch hii app.
Ukishaenable MusicFX, utaweza kufurahia music wenye best quality.

Hivi mkuuu hakunaa mbadalaaa ya app nyingine ambayo inafanana na poweramp nika ipakua play store
Coz hii app ya poweramp ina ubora tofauti na app nyinginee yaani next level..
 
I was in the city with nigga had seen that shit !
.... The game & Kendrick

nimeielewa sana ile ngoma, mpaka Nikki Mbishi kamcopy

Songa nae idea ya beef naona ilikuwa ha B.I.G "what's beef"
kazi tunayo
Western Hip-Hop artists wanafanya kazi nzuri sana, especially kiuandishi. Mpaka wasanii wetu wanaamua ku-borrow maneno na maishairi..
 
Hivi mkuuu hakunaa mbadalaaa ya app nyingine ambayo inafanana na poweramp nika ipakua play store
Coz hii app ya poweramp ina ubora tofauti na app nyinginee yaani next level..

Sina uhakika ni music player ipi ambayo itaendana na mahitaji yako. Lakini ungejaribu kuangalia zaidi kwenye google ili uweze kupata reviews za watumiaji mbalimbali wa music players.
 
Back
Top Bottom