Play store app pending

Play store app pending

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
3,272
Reaction score
5,631
Habari wapendwa
kwa anaefahamu setting za android smartphone

Nataka kudownload app play store inaniambia app pending n wala sidownload kitu chochote
tatizo nini wakuu?
 
Hapo Huenda Simu Ina Shida Upande Wa Internet Yaani Mtandao Haupo Sawa
Labda Simu Yako Ina Insufficient Memory
internet iko okay.
ikiwa na insufficient memory si huwa inasema
 
Imewahi kunitokea mara kadhaa lakini baadaye inakubali. Kuwa na subira tu maana kuna wakati simu zinachanganyikiwa kwa kuwa tunazitaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja...
sawa mkuu asante
 
: ishanitokea mkuu nenda setting>apps>playstore>clear cache
nenda tena setting >app>playservice >clear cache

afu ka cheki ikizingua nenda YouTube mkuu lazma utapata suluhisho mkuu
 
: ishanitokea mkuu nenda setting>apps>playstore>clear cache
nenda tena setting >app>playservice >clear cache

afu ka cheki ikizingua nenda YouTube mkuu lazma utapata suluhisho mkuu
mkuu nilihangaika kote ila
kama alivyosema mkuu mmoja itakaa saqa yenyewe imekaa sawa
 
Habari wapendwa
kwa anaefahamu setting za android smartphone

Nataka kudownload app play store inaniambia app pending n wala sidownload kitu chochote
tatizo nini wakuu?

It means kuna apps nyingine zinafanya update zikimaliza ndo utaona imeanza kudownload, vinginevyo nenda kwenye settings ya play store disable auto update
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom