Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Habari zenu wana jamvi, Kuna Playstation 3(PS3) Inauzwa kwa bei ya kutupwa Laki 2 na elfu 50 ipo katika hali nzuri. Jamaa anaiuza
Qualities zake.
Ina USB ports.
inatumia CD(picha utaona)
ina Pads zake(ipo moja)
Kwa wale wapenzi wa Games kwa watu wazima na watoto itawafaa, ina CD ya games za Mpira PES 2009.
Kwa mawasiliano wasiliana na kijana anaitwa Mugisha. Yupo Mbagala Rangi tatu. 0759316422