PLAY BOY - 06
'
"...haya nidanganye tena sasa..? Na huyu ni nan..?"
Nilibaki mdomo wazi huku tukimtolea macho Ney
kama vile hatumjui.
"we dada vipi unamatatizo enh...?"
"Jef unaniambiaje..?"
Ney alikuwa ni mwepesi sana wa hasira pale pale machozi yakaanza kumtoka huku akitupa kofia
yangu na miwani nakuniacha pale na helleiner.
"bora liende huko..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimgeukia
helleiner.
"sorry helleiner kwa kilichotokea, c unajua wasichana wa uswahilini wakikuona umependeza
lazima wakuzingue.."
"usijari Jef ondoa shaka na mimi kabisa"
Tuliendelea kupiga story pale lakini malengo
yangu yote hayakuwa vile,
"enh nikuulize kitu helleiner...?" "uliza tu usijali"
"unasoma au...?"
"yap nipo chuo.."
"dah the same to me lakini mi nipo cbe, vip kwani
wewe upo wapi..?"
"nasoma IFM.." Hapa leo lazima kieleweke
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikilikodolea jicho la
helleiner,tulimaliza juicy pale kisha kilichofuatia,
"helleiner ningependa ukapajua japo ninapoishi"
"Usijali Jef hata cku nyingine.."
"nou jaman pliz pliz..." "jef nawe,embu niambie unaish wapi...?"
"hapo tu magomeni wala c mbali kutokea hapo..."
"ok twenzetu lakini hatutakaa c kupajua tu.."
"yap...!"
Sikuamini macho yangu kwani nilimuongopea
helleiner tukaenda magomeni huku akijua eti ni home kwetu kumbe kwa mshikaji getto,fasta
nikamtumia mesej kumuweka sawa.
'OYA MSHKAJI NIKO NJIANI PLIZ FUNGUO KAMA
KAWA JUU YA MLANGO NAKUJA NA MTOTO HUKO' * baada ya nusu saa * Tayari kidume mimi nilikuwa mitaa ya migomigo
kucheki taimu yangu ilikuwa kama mida ya saa 11
kasoro,
"Jef,nikuulize kitu.."
"uliza tu..."
"embu niambie unaishi na nani huku tunapokwenda..?"
"nipo na kaka yangu mkubwa ila amesafiri kwa
muda yupo south africa atarud mwezi ujao.."
Nilimdanganya huku tukiingia ndani,niliingia kwa
mbwembwe zote,
"karibu friend hapa ndo home...!" "enh pazuri...."
"kawaida tu...."
Fasta fasta nilielekea mpaka chumbani huku
nikiweka mazingira fresh kisha nikarudi mpaka
sebuleni nakukaa karibu kwenye kochi moja huku
tukipiga story za kawaida. Uzalendo ukaanza kunishinda kidume mimi kwani
nilijikuta napiga story huku mkono mmoja kila
mara nikiuweka mapajani mwa helleiner,hakuo
nesha mkali hivyo ukawa mwanya kwangu wa
kuzidisha kumshika hadi nikajikuta nataka
nimkumbatie, "noo..! noo...! noo..! noo jef.., unataka
kufanyaje...?"
"amm.. mm.. mh.. mh.. mh... Sifanyi chochote"
"...na hapa pajani kwangu mkono wako unafuata
nini...?"
"ah helleiner kawaida tu mbona ,but nikwambie kitu..?"
"yap sema..."
"pliz japo nikubusu shavuni then tuondoke..."
"what...?, unasemaje...?"
nilijikaza kiume bila kuogopa chochote kwani jef
ryder huwa hashindwi kitu kwa mademu tena kama hawa.
"haya nibusu tuondoke..!"
Nilimbusu huku nikimwacha akisisimka mwili wote
nakujikuta akiropoka.
"jef....?"
"nilishangaa analeta mdomo wake kwangu nakumtupia romance, nilinogewa huku mikono
yangu nikiishusha mpaka kifuani mwake
nakuanza kushika shika matiti yake huku akianza
kutapatapa.
"jef, chezea pote kuanzia juu mpaka kifuani, ila
kuanzia kitovuni mpaka chini pliz niache usiguse..." "yap mambo c ndo hayo kiulaiini..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika matiti
nakuanza kumnyonya kuelekea kitovuni,kila
nilipotaka kusogea maeneo yetu yale alikuwa
mkali sana.
"jef inatosha basi.., basi.." "nou...! nou..! jaman pliz"
Kila nikimshika mapaja alikuwa mbishi mpaka
baadae kabisa akakubali kuzivua nguo zake huku
akibakiwa na chupi tu,
"jef, niambie kwanza utakuja utanisaliti...?"
"ondoa shaka na mimi kabisa pliz ntakuwa wako daima..."
Nilimuongopea huku nikivua nguo yangu
nakubakiwa na boxer tayari kwa kutaka ku sex.
"jef nimetokea kukupenda..!"
"hata mi pia.."
"nikwambie kitu jef..?" "niambie tu.."
"tuta sex siku nyingine pliz..."
"why isiwe leo jaman helleiner...? Nitateseka usiku
helleiner mpenzi..."
"na bleed ndo mana nakwambia hivyo jef, cku
nyingne tutasex niamini pliz.." Niliona kama ananidanganya hivyo kilichofanyika
nikamlegeza upya mpaka akalegea na nilipomvua
chupi tu nilikutana na pedi tena ina damu damu
nikiwa bado nashangaa mara ile nachungulia
dirishani tu macho yangu yakakutana na tax
ikishusha mizigo kwa nje huku nikimshuhudia kama maza ake na mshikaji aliyeniachia getto
akishuka kwenye ile gari...
~~
Itaendelea usiku saa 2...