PLAY BOY - 03 "nani akukumbuke wewe...!"
Nilijisemea kimoyomoyo huku akili yote
nikiiamishia kwa mchumba wangu Ney.
"usiniguse niache uko...!"
Ney alikuwa kabadilika kama mbogo kwani bado
alikuwa na uchungu juu ya ya kunifumania na Jacky.
Nilitumia muda mfupi tu kumbembeleza mpaka
akakubali c unajua tena mademu walivyo wepesi
kusahau,haikupita muda mwenyewe akaanza
kuongea taaratibu,
"Jef.., nakupenda usije ukanitenda tena pliz..!" "usijali mpenzi wangu ni shetani tu alinipitia..."
Mzuka wa ajabu ukanijia huku nikimkumbatia kwa
nguvu zote nakumpa madenda uso mzima,
niliitelezesha mikono yangu mpaka kwenye
chuchu zake huku nikitaka kusogea yale maeneo
yetu ya kujidai mara.. "no..! no..! no..! Jef pliz...!"
"...nini tena mpenzi.."
"una condom..?"
"hapana lakini..."
"Lakini nini...? Nimemaliza kubleed juzi tu, co pliz
nenda kanunue condom..." Niliamua kumkubalia fasta fasta huku nikivaa pensi
yangu nakumwacha Ney kalegea mwili wote
nikatoka nje kwenda kununua condom na
nilipofungua mlango tu.
"njoo hapa shhh...!"
"Jacky hujaondoka tu...?" Kumbe alikuwa ni jacky na alikuwa akituchungulia
muda wote huo kwa kupitia tundu la mlangoni.
Aliubamiza mlango kwa nguvu kisha akavua nguo
zake zote,
"...ulivyonichezea vyote vile ulitaka nani nimpe..?
Ng'ombe umle wewe ushindwe kumaliza kula na mkia..?"
Aliendelea kuongea Jacky huku akinivua pensi
yangu na kilichofuatia nikusex naye pale pale
kwenye korido chini huku Ney nikimwacha ndani
akinisubiri.
Nilisex bila ya kutumia condom huku nikifurahia raha ya mapenzi,kiukweli jacky anakatika tena dah
mpaka tukajikuta tunatoa sauti ya juu ile ya
mahaba.
"jacky..! jacky..! inatosha pliz...!"
"nini...? Hata hujanifikisha kileleni eti inatosha,
embu endelea huko..." Jacky hakutaka kunielewa kabisa mpaka nikampa
alivyokuwa anataka akaridhika,
"..haya sasa mfuate huyo mkeo ndani
ukammalizie..."
Aliongea jacky kwa nyodo huku akivaa nguo yake
na kutoka nje,niliongozana naye nikaishia dukani huku nikimwacha jacky akiendelea na safari
yake,fasta fasta nikarudi ndani,
"...mbona umechelewa hivyo Jef...?"
"si unajua leo jumapili maduka mengi yamefungwa
mapema na nimezipatia mbali sana..."
"nikwambie kitu Jef...?" "..enh..! niambie tu..."
"nimeghairi sitaki tena utumie condom kama
kunipa mimba we nipe nitailea tu.."
"Ney..? Ahh..! ahh..! ahh..!"
"mi ndo nimesema hivyo jef embu tupa vikondomu
vyako kuleee..." Ney alikuwa yuko seriaz kweli kwani nilimzoesha
vibaya kila ninapokutanaga naye huwa ni kavu
kavu kwenda mbele.
Kwa moyo wa ujasiri nikamvaa ili nisex naye ile
nataka tu kumvua mara mlango ukafunguliwa kwa
nguvu, "chukua chupi yako umenibadilishia lete yangu..!"
Alikuwa ni Jacky karudi ndani kwa hasira zote
huku akishikilia chupi yangu mkonöni,
"inamaana Jef umesha sex na huyu kabla
yangu...?"
Ney alinigeukia kwa mshangao huku akiwa hajiamini amini kama nimeshamzunguka ndani ya
muda mfupi... +++ Itaendelea....