Na Wa kwanza ni mtoa mada mwenyewe Kuna mwingine anajiita Gentamycine sijui lugha chafu na dharau kwa wengine wanazitoa wapi,au wanadhani hatujui matusi.Hadi hapo kwenye koma ya kwanza umeonekana ni kijana muungwana sana.
Japo ujinga kamwe haujifichi kilichofuata......
Twende mbele turudi nyuma. Wote humu ndani tuko kwa minajili mikuu mwili kama si mitatu
1. Kuhabarishana
2. Kuelimishana na
3. Kuburudishana
Hilo la kudharauliana sijui chini hizi kama zitaweza kututoa nafasi hii tuliopo kiumasikini na kiwango cha nchi yetu viwango vya mpira duniani.
Tuamke vijana wenzangu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kama katika hali ya kawaida wewe umeshindwa kuuona unadhani hata ukiambiwa utaelewa?? Maana kwa yeyote mwenye utashi hawezi kuuliza swali la namna hiiUwazi wake kama unaujua si utuambie sasa.?!?
Hizo zote bado ni dhana tu.umeanzishiwa mada na wewe umedakia kwa mbele.Kama katika hali ya kawaida wewe umeshindwa kuuona unadhani hata ukiambiwa utaelewa?? Maana kwa yeyote mwenye utashi hawezi kuuliza swali la namna hii
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Mkuu wapi nimetaja Chadema ktk mada yangu?! Kwani Mayor wa Kinondoni ambaye ni CCM anapeperusha bendera ya taifa?!!!!!! Usinilishe maneno mkuu!We ni punguani maana aloletaada no wa Lumumba na lengo ni kutaka kuonyesha chadema hawataki kutumia bendera ya taifa,
Uwe unatumia akili viroba hamna SKU hizi
Bangi zikiisha uandike vizuriWe ni punguani maana aloletaada no wa Lumumba na lengo ni kutaka kuonyesha chadema hawataki kutumia bendera ya taifa,
Uwe unatumia akili viroba hamna SKU hizi
Wakati yanasaini mikataba yalikuwa yanasinzia?Kkimondoa,Hii mijamaa akili hamna kabisa.mtoa post ameuliza ili ajue.hajasema yeye ni Wa chama gani.
Haya ndio aina ya majitu ambayo yalituingiza ktk mikataba ya madini then leo yanalalamika kuwa tumeibiwa.
Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
Hapa unaanza kuingiza upuuzi wa kiitikadiMkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Bangi zikiisha uandike vizuri
Post sent using JamiiForums mobile app
Yaani taifa hili sijui nani kaliroga aisee maana watu hawajadili watu kwa hoja zaidi ya kujadili mambo kwa kuongozwa na ushabiki wa kijinganyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Mameya wote hutumia plate number ya SMNimepishana na haya magari mawili moja lina bendera ya taifa ndani yumo mkuu wa mkoa na lingine lina bendera nyeupe hivi na ina picha ya mnazi ndani yumo mstahiki meya wa Dsm. Nauliza tu wapendwa, hivi mstahiki meya hapeperushi bendera ya taifa?! Au akipeperusha bosi wake wa mkoa basi yatosha anakuwa amewakilishwa!
Upo sahihi kabisa dingiNaomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Kwanini ukiambiwa ukweli huwa unakasirika muombe mumgu akuokowe na hilo tatizo linalo kukabili waombeye pia watoto wako wasiwe na hilo tatizo lako la kuogopa ukweliUmejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wako
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa kuongezea kidogo , pia Mkuu wa Mkoa anateuliwa na Rais kwa kuzingatia kujuana na uswahiba , na anaweza kutimuliwa dk yoyote kutokana na kudra za mwanadamu aliyemteua , lakini Mstahiki Meya ni chaguo la wananchi ( ambalo kimsingi ni chaguo la Mungu pia ) , na hawezi kuondolewa madarakani kwa kudra za mtu mmoja tu .Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Jf siku hizi kama fb tu. DahUmejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wako
Post sent using JamiiForums mobile app
Umewahi kuiona ya meya wa jiji la Dsm?!Mameya wote hutumia plate number ya SM
Post sent using JamiiForums mobile app
Ok so mstahiki meya yeye hupigiwa kura na wananchi!Kwa kuongezea kidogo , pia Mkuu wa Mkoa anateuliwa na Rais kwa kuzingatia kujuana na uswahiba , na anaweza kutimuliwa dk yoyote kutokana na kudra za mwanadamu aliyemteua , lakini Mstahiki Meya ni chaguo la wananchi ( ambalo kimsingi ni chaguo la Mungu pia ) , na hawezi kuondolewa madarakani kwa kudra za mtu mmoja tu .
Kabisa , hateuliwi na mungu - mtu , anatokea kwenye udiwani na kuchaguliwa na waheshimiwa wenzie .Ok so mstahiki meya yeye hupigiwa kura na wananchi!