Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikiaNaomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Nimepishana na haya magari mawili moja lina bendera ya taifa ndani yumo mkuu wa mkoa na lingine lina bendera nyeupe hivi na ina picha ya mnazi ndani yumo mstahiki meya wa Dsm. Nauliza tu wapendwa, hivi mstahiki meya hapeperushi bendera ya taifa?! Au akipeperusha bosi wake wa mkoa basi yatosha anakuwa amewakilishwa!
Bashite na MayorUjinga mwingine tena kutoka chadema
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FCUjinga mwingine tena kutoka chadema
Umejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wakonyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Acha akili za kipumbavu.huyu aliyeuliza hajasema yuko upande gani,nia yake ni kutaka kujua na ametusaidia na wengine ambao hatufahamu.Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kkimondoa,Hii mijamaa akili hamna kabisa.mtoa post ameuliza ili ajue.hajasema yeye ni Wa chama gani.nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Nimeelewa mkuu, nashukuru! Kwahiyo Anna Mghwira wa Act yuko serikali kuu du ana bahati!Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Ndio maana nimeomba kuelimishwa ili nifute ujinga mkuu! Naona umeikariri Chadema utakuwa umekatwa mkia wewe maana hata hujitambui!Ujinga mwingine tena kutoka chadema
Inawezekana aloleta hoja hata sio wa ufipa,Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ngoja nisubiri wenye akili timamu waje wachangie maana nyie vichaa mnatupotezea wakatUmejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wako
Post sent using JamiiForums mobile app
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania
Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)
Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa
Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Unasema DED wa kinondoni kwa mfano, ni mkubwa kuliko mstahiki Meya?!!Hujaeleweka.... Maelezo yake hayajitoshelezi kutetea hoja yako !!!
Lakini "Central" na "Local", zote ni government, au siyo ?
Swali:
Ni kwanini ukifika mbele ya Administration block ya District Executive Director (DED) ama City Exécutive Director (CED) ambaye kimsingi ndiye Head of Local Govt. Authority ktk eneo husika unakuta bandera ya taifa inapepea juu juuuu sana...???
Unataka kutuambia kuwa kwa Kitendo cha bendera ya taifa kupepea mbele ya Ofisi ya mkurugenzi wa H/M ama Jiji, Basi umejifanya wewe ni DC ama RC ??
Unasema DED wa kinondoni kwa mfano, ni mkubwa kuliko mstahiki Meya?!!