Plane crash in Taiwan in emergence landing 51 dead, 7 injured

Plane crash in Taiwan in emergence landing 51 dead, 7 injured

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,407
[h=1]Taiwanese news agency: Plane crashes in emergency landing, killing 51 people, injuring 7[/h]Associated Press – 21 minutes ago MORE UPDATES TO COME
 
[h=1]Taiwanese news agency: Plane crashes in emergency landing, killing 51 people, injuring 7[/h]Associated Press – 21 minutes ago MORE UPDATES TO COME

Ni ATR 72 kama hizi za jamaa zetu wa precisionair
 
Ndege ya Shirika la ndege la TransAsia imedondoka nchini Taiwan na kusababisha vifo vya watu takriban 51 na kujeruhi wengine saba.

Ndege hiyo iliripotiwa kutua kwenye kisiwa cha Penghu pembezoni mwa pwani ya magharibi mwa Taiwan.

Uongozi ulisema ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 58 wakiwemo wafanyakazi wanne, ilipata ajali karibu na uwanja wa ndege nje ya kisiwa cha Penghu.

“Watu Takriban 51 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa”, Shen Chi wa Taiwan Civil Aeronautics aliwaambia waandishi wa habari, ila mkuu wa zimamoto amedai vifoni 45.


attachment.php


Ndege hiyo ya GE 222 ilikuwa ikifanya safari ya ndani ambapo kumekuwa na hali mbaya ya hewa katika mji mkuu wa Taipei mpaka visiwa vya Penghu, katikati ya ardhi ya China na Taiwan.

Taarifa zinasema kuwa rubani alishindwa kufanya jaribio la kwanza la kutua kabla kufanya la pili na ndipo ndege hiyo ilipopoteza mawasiliano kutoka kwa waongozaji wake.

Source: BBC
 

Attachments

  • Tai.jpg
    Tai.jpg
    31 KB · Views: 474
Mmh, RIP marehemu wote.

Hope Russia haitahusishwa.
 
Wataalamu wanasema usafiri wa anga ni salama kuliko usafiri mwingine wowote.
 
Hivi nani aliruhusu ndege kuondoka wkt hali ya hewa ilikuwa mbaya :angry::angry:
 
MH370, Algeria, Place crash, isije kuwa ni Aliens hao.....
 
Back
Top Bottom