Jamani wana Jf naomba mfuatilie habari kuhusu Shinyanga mjini,nimeambiwa kuwa Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi wamejiuzuru. Nasikia na JK yupo Shy. Watu wanapigwa na mabomu ya machozi. Nimetumiwa msg na jamaa wa huko Shinyanga. Waliopo huku naomba data. Ila nasikia mgombea wa Chadema ameshinda kwa Shinyanga mjini