Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
acha tu, kuna uzi mwingine uko nimeuona halafu sijaelewa...Hahahaaa.. ndo mumfundishe maisha ya humu asiendelee kuwaaibisha
sijui hata anaumri gani kwanza maana usikute kamaliza mtihani juzi,
acha tu, kuna uzi mwingine uko nimeuona halafu sijaelewa...Hahahaaa.. ndo mumfundishe maisha ya humu asiendelee kuwaaibisha
Huyu itakua maeneo ya nyangugesijui ni wawapi huyu...[emoji20][emoji20]
Seriously he needs jf counsellingHahahaaa.. ndo mumfundishe maisha ya humu asiendelee kuwaaibisha
Au kanunua smartphone juzi.. au anafananisha humu na facebook. Maana hata insta watu wa aina yake hawapoacha tu, kuna uzi mwingine uko nimeuona halafu sijaelewa...
sijui hata anaumri gani kwanza maana usikute kamaliza mtihani juzi,
[emoji23] [emoji23]Seriously he needs jf counselling
ngoja azoee kwanza vurugu za humu atajiJudge mwenyewe badae....kama sio kuitelekeza hii ID,Au kanunua smartphone juzi.. au anafananisha humu na facebook. Maana hata insta watu wa aina yake hawapo
Hahaahaangoja azoee kwanza vurugu za humu atajiJudge mwenyewe badae....kama sio kuitelekeza hii ID,
Nilijua tu,ni sio mganga wa kienyeji ila ulivyo nimepata jibu wasalimie wasukuma.Buzuruga jirani na skyway bar
For salePlan of God ni zaliwe
Jf imebamiwa na kizazi cha Facebook