Plan international nako, mpaka tutoe kitu?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
wadau nauliza Plan International siku hizi mpaka utoe ongo ndo unapata ajira? nataka nijue kbra sjaomba kazi maana mimi nikitoa rushwa tu, naumwa!
 
Achen kudanganyana Nina mshikaji wangu yupo pale kama field officer, plan ni miongon mwa mashirika machache ambayo hayana longolongo kabisa... Mzungu hana longo longo.... Apply then jiandae na interview na mzungu
 
Hao jamaa nilifanya nao interview mbili kama miezi miwili imepita sasa ila mpaka leo sijaambiwa lolote ingawa nilitimiza process zote walizotaka mpk nikawa najiuliza au kuna mchezo umefanyika... Ata hivyo wapo vizuri sana kwenye mchakato wao ni very professional mpk unakubali mwenyewe.. Sijajua kwa nini sijaitwa maana nilikaza sana kwenye interview nikaja skia wameita interview nyingine juzi nafas zile zile nikachoka. Thank God nmepata kibarua kingine japo niliwatamani sn hao jamaa
 
wadau nauliza Plan International siku hizi mpaka utoe ongo ndo unapata ajira? nataka nijue kbra sjaomba kazi maana mimi nikitoa rushwa tu, naumwa!
Mimi nilifanya interview na sikuwai kuombwa rushwa kila kitu kipo open.. Sijajua kwenye hatua ya recruitment maana hapo ndio nilikwama
 
Hao jamaa nilifanya nao interview mbili kama miezi miwili imepita sasa ila mpaka leo sijaambiwa lolote ingawa nilitimiza process zote walizotaka mpk nikawa najiuliza au kuna mchezo umefanyika... Ata hivyo wapo vizuri sana kwenye mchakato wao ni very professional mpk unakubali mwenyewe.. Sijajua kwa nini sijaitwa maana nilikaza sana kwenye interview nikaja skia wameita interview nyingine juzi nafas zile zile nikachoka. Thank God nmepata kibarua kingine japo niliwatamani sn hao jamaa
Maana yake haukufit, ww utajifanyia assessment VP kujua kuwa ulifanya sahihi??
 
Back
Top Bottom