Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

Kumfumaster97

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
1,326
Reaction score
1,450
Habari za muda huu wakuu its Blue monday hope mko poa ambao wanaumwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema mtakuwa sawa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nashindwa kudownload X (Twitter) kwa sababu moja natumia Huawei Nova 2s ina android ya 10 thus why nashindwa kudownload

So kwa anaejua plan B ya kupata access ya kuingia X msaada please
 
Mkuu simu yako ina android ama Harmony? Una access ya playstore ama store tu ya Huawei?
 
Mkuu simu yako ina android ama Harmony? Una access ya playstore ama store tu ya Huawei?
Napata access ya playstore ila niki search X haipo playstore nimejaribu kuingia kupitia google bado napata changamoto
Android yake ni 10
 
Download GBox app na usakue application ya x ndani yake..

Huawei Zina zingua sana maana hazina Google play support
. Ninayo hapa ilisha nitesa sana mpaka nikapigwa ban wahtsaap

Tumia hii combination

Download: microg app

Then weka account yako ya google

Baada ya hapo download :GBox app

Kisha fanya authentication na account ya Google itakuja automatic

Kisha utakuwa unatumia playstore apps ndani ya GBox app
 
Pamoja mkuu maan hata mimi mwenyewe whatsaap wamerestrict kuchati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…