Place to be

Place to be

Maua mazuri, lakini in my dream Dubai is not a place to be.
 
Kweli unaweza kununua mafanikio kama waarabu wanavyofanya...
 
"Ra-siri-mali" zetu sijui itakuwaje hapo baadae....

Neema au majanga?
 
​Macho yakishazoea kuona vitu vizuri kama hivo ukija kwetu utahisi unaingia kwenye banda la njiwa

Hahahaa kweli aisee, ukishakaa nchi za wenzetu ukirudi Bongo unajiona km umeingia jehanamu vile!
 
Back
Top Bottom