BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,015 Oct 12, 2021 Thread starter #2 πππππ
technically JF-Expert Member Jul 3, 2016 11,975 48,843 Oct 12, 2021 #4 Chai moto kitumbua Motoπππ
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,197 20,174 Oct 12, 2021 #6 hawa wazee bado wanaishi kwenye unafiki, maoni ya wananchi yalipuuzwa yakawekwa maoni ya wanaccm halafu wanataka tupige kura ya maoni
hawa wazee bado wanaishi kwenye unafiki, maoni ya wananchi yalipuuzwa yakawekwa maoni ya wanaccm halafu wanataka tupige kura ya maoni
C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,747 14,649 Oct 12, 2021 #7 Huyo naye muhuni tu,anaogopa kuwakera ma bread winners wake,kumbuka mzee sasa hivi anaishi kwa pension na vijiruzuku vingine visivyo rasmi,hapo ni kama amepewa panga aukate mrija unaomlisha! Abadan,hatoweza kufanya hivyo,mhurumie tu.
Huyo naye muhuni tu,anaogopa kuwakera ma bread winners wake,kumbuka mzee sasa hivi anaishi kwa pension na vijiruzuku vingine visivyo rasmi,hapo ni kama amepewa panga aukate mrija unaomlisha! Abadan,hatoweza kufanya hivyo,mhurumie tu.
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,703 218,247 Oct 12, 2021 #8 BAK said: Click to expand... Mzee kalala mbele
Ileje JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,798 12,240 Oct 12, 2021 #9 BAK said: Click to expand... Amekwepa kubambikiwa kesi ya ugaidi!
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,015 Oct 12, 2021 Thread starter #10 πππππππ Ileje said: Amekwepa kubambikiwa kesi ya ugaidi! Click to expand...
Janjaweed JF-Expert Member Jan 20, 2010 13,157 10,655 Oct 12, 2021 #11 Hahahahaaaaa Babu kaona isiwe tabu BAK said: Click to expand...
Adrian Stepp JF-Expert Member Jul 1, 2011 2,764 2,581 Oct 12, 2021 #12 BAK said: πππππ Click to expand... Jamaa mtukutu sana πππππ
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,015 Oct 12, 2021 Thread starter #13 Oh! Kumbe ni Khalifa? Yuko vizuri huyo jamaa. Adrian Stepp said: Khalifa mtukutu sana πππππ Click to expand...
Oh! Kumbe ni Khalifa? Yuko vizuri huyo jamaa. Adrian Stepp said: Khalifa mtukutu sana πππππ Click to expand...
mweusi asili JF-Expert Member Nov 11, 2014 2,035 3,349 Oct 12, 2021 #14 Kesho utasikia mwandishi aliyemuhoji mzee anaitwa Central kueleza kwanini anawapiga wastaafu maswali ya katiba
Kesho utasikia mwandishi aliyemuhoji mzee anaitwa Central kueleza kwanini anawapiga wastaafu maswali ya katiba
S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 21,563 50,408 Oct 12, 2021 #15 Nchi ngumu sana hii. Kama huyu ambaye amekula kila aina ya maisha na kwake ni saa 12:15 jioni anaogopa kutoa maoni ...??
Nchi ngumu sana hii. Kama huyu ambaye amekula kila aina ya maisha na kwake ni saa 12:15 jioni anaogopa kutoa maoni ...??
Mokaze JF-Expert Member Aug 3, 2018 14,375 14,870 Oct 12, 2021 #16 BAK said: Click to expand... Watu hawajui kwamba hiyo katiba ya 1977 ni huyo huyo Msekwa ndiye mtunzi.
BAK said: Click to expand... Watu hawajui kwamba hiyo katiba ya 1977 ni huyo huyo Msekwa ndiye mtunzi.
Pac the Don JF-Expert Member Feb 17, 2021 6,177 7,699 Oct 12, 2021 #17 BAK said: Click to expand... Mbioooo π€£π€£π€£π€£
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,785 28,806 Oct 12, 2021 #18 Mtu kastaafu lakini bado anaogopa ogopa kutoa maoni, CCM imetengeneza wazee wa hovyo sana
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,341 6,495 Oct 12, 2021 #19 Anakula 80% ya mapato ya Ndungai, pia unaweza kuta anavijana wake ndani ya serikali, so analinda ajira zao.
Anakula 80% ya mapato ya Ndungai, pia unaweza kuta anavijana wake ndani ya serikali, so analinda ajira zao.
magigisi Member Nov 26, 2016 54 89 Oct 12, 2021 #20 Ileje said: Amekwepa kubambikiwa kesi ya ugaidi! Click to expand... Yuko sawa